Saint Anne nakusalimu 👋👋👋Kama hujaelewa uliza❤️
Kwenye njaa uvivu lazima niukemee tu hamna namna. 🤣🤣😂😂😂 uvivu ulinishika
Tusubiri kualikwa cha mchanaKwenye njaa uvivu lazima niukemee tu hamna namna. 🤣🤣
😂😂😂. Inabidi tumualike sisi. Maana kwa maelezo yake inaonekana wamekata gharama ambayo ni sawa na hela yake ya msosi hadi nauli. Kama namuona atakavyoprint kutoka Town hadi NjiroTusubiri kualikwa cha mchana
Sema ana stress za tozo sijui atatukumbuka mweee
Namhurumia maskini 😂😂😂😂😂. Inabidi tumualike sisi. Maana kwa maelezo yake inaonekana wamekata gharama ambayo ni sawa na hela yake ya msosi hadi nauli. Kama namuona atakavyoprint kutoka Town hadi Njiro
Upo na Naninaja ngoja nazurura huku mjini
Kweli tuulize bila ya kuanza kujipa majibu ambayo sometimes yanakuwa ni hayapo 🤣Kama hujaelewa uliza❤️
Ndo umpitie na gari yako sasaNamhurumia maskini 😂😂
Wacha tuone itakuaje
🥹🥹🥹 si uniitie toyo wako😂😂😂. Inabidi tumualike sisi. Maana kwa maelezo yake inaonekana wamekata gharama ambayo ni sawa na hela yake ya msosi hadi nauli. Kama namuona atakavyoprint kutoka Town hadi Njiro
Wa kishua. Niajee?Kweli tuulize bila ya kuanza kujipa majibu ambayo sometimes yanakuwa ni hayapo 🤣
Si mpaka awe kaweka mafutaNdo umpitie na gari yako sasa
Mafuta yenyewe ni mzozo siku hizi. Mi nitakusindikiza moja moja. Utanikuta clock tower paleSi mpaka awe kaweka mafuta
Wakishua nalilia tozo ya 3751Wa kishua. Niajee?
3090 bado mnalalamika jamani 😂😂 ? Au warudishe kule kwa 3492?Mafuta yenyewe ni mzozo siku hizi. Mi nitakusindikiza moja moja. Utanikuta clock tower pale
Hahahhhaaaaaa.. unapenda machalari eehWakishua nalilia tozo ya 3751
😅😅😅😅
Ila hapo napata Machalari, maji nakunywa ya ofisi na nauli ya kidala
Na makande 🤣🤣😂😂Hahahhhaaaaaa.. unapenda machalari eeh
🤗🤗🤗3090 bado mnalalamika jamani 😂😂 ? Au warudishe kule kwa 3492?
Petrol hiyoo
Maana najua magari ya dizel hamna
Januari au?Daah. Mimi nilizaliwa siku ya njaa nini? Jana tena kuitikia mualiko ukawa ushamaliza.
Anyway vipi kuna glass nyingine au ndo ishakula kwangu? 🤔🤔