Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,530
- 235,275
Wala siyo ghafla.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie ccy mbna ghafla sana???
Naifuata wapi hiyo zawadi....?ππππSafi kabisaa.. Nazawadi yako unique πππ.. Ungekuwa unaonja tu ungeikosaaa βΊοΈβΊοΈ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aseeeeeeh hatareeee.Wala siyo ghafla.
Nilisema kitambo tu kuwa yule mzee bangi sana.
Hii nakuletea mwenyewe ππNaifuata wapi hiyo zawadi....?ππππ
Then White House it is!!!π Ila shurti uingie ndani umsalimie mkuu πPopote utaposema nikupitie nakuja ππ
Sijui watu huwa wanazichukuliaje hela za wenzaoπ€£A very friend of mine kanipigia sim,mwezi March"hallow udugu niazime laki moja nilipe mchezo kesho j1 narudisha bestie"miye Tena kwa no ipi?ntumie kwenye akaunti hii jina Fulani,miye Tena chwaaap!nikatuma!
J1 kimya,j2,mpk leo!sijui j1 ya ngapi![emoji38][emoji38][emoji3526][emoji3526][emoji1732]na kauchuna km Hakuna kitu!
Acha tu
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
sana.... Mbona unaniita shemeji unataka kuninyima nin?!Nakusabahi shemela
Muda & sehemu??? Nataka kukaa mkao wakisubiri βΊοΈβΊοΈHii nakuletea mwenyewe ππ
πππ Uzuri wote tutakuwa wakuuu... Hakuna kitacho haribikaThen White House it is!!!π Ila shurti uingie ndani umsalimie mkuu π
πππ Ukiamka tu, niambie nianze safariMuda & sehemu??? Nataka kukaa mkao wakisubiri βΊοΈβΊοΈ
πππππππππ Uzuri wote tutakuwa wakuuu... Hakuna kitacho haribika
au atakuwa anakaribia kunifikia π·ββοΈπ·ββοΈππππππ
Unaweza ukawa umemfikia π ???π²π²
Abee bagheshiIlomboye
Ngw'agoko baghesi
Inatikiwa kifimbo cheza aludi ili awe akulekebishe maandish ya lugha(KIMOMBO NI NIN)[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimesomaaaaaa, tatizo kimombo hiki sasa daaah.
NimerudiKhee mchana nilikaanga chips
Yan we ule muda kidogo wa kuiba ndio nipike wali π€£
Wasalimie gym
πππ dhambi
Mkulaji bange wa kwanza ww tena wa kike humu JF
Mapema sana kwahiyo jua likichomoza tu anza safari ππππ Ukiamka tu, niambie nianze safari
ππΎππΎππΎππΎπ€au atakuwa anakaribia kunifikia π·ββοΈπ·ββοΈ