Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,504
- 203,224
Za kukamuliwa ndio nzuri kukopeshaMweee unataka kunikamua hadi damu😂😂😂😂
Hela sina
Za kukamuliwa ndio nzuri kukopeshaMweee unataka kunikamua hadi damu😂😂😂😂
Hela sina
WeeNipo binaaa. Fanya nikuone basi ulivyobongeka



Anza weeee!Hapana huwezi wewe🤣Hebu sema kwanza ni kitu Gani.
Ukute naweza kukupa,unaogopa Bure😂
Dah wewe dada una roho ngumu!Good evening 🤣🤣 Lenie View attachment 2355727
Kwahiyo umekuwa semaji langu?😂Hapana huwezi wewe🤣
Au unataka pombe?Hapana huwezi wewe🤣
Jamaniii..mi Sina upole Ila napenda amaniYaniii nina nature hio! Sasa afadhali humu najitahidi kidogo ukiniona live Anne huwezi amini hivi unamjua konokono kilaza wa kwanza kabisa kuongea!!?? Ndio mie sasa!
Nitafanyaje sasa nahisi sitopewa😇Kwahiyo umekuwa semaji langu?😂
Utanipa Saint Anne eeh😆Au unataka pombe?
Nitakupa ile st Anne nilipewa mwaka Jana.
Ukute ni kukuNitafanyaje sasa nahisi sitopewa😇
🤣🤣🤣 wapi huko tenaDah wewe dada una roho ngumu!
Unamuacha mtu na bado unampiga spana.
Huku poa shem lake...
NdiyoUtanipa Saint Anne eeh😆
Sijui😂😂🤣🤣🤣 wapi huko tena
Mi namtaka Saint Anne mwenyewe😄Ukute ni kuku
Tutakugawia..Mimi ni mkarimu sana,🤣
Yule Saint Anne mwenyewe 😅Ndiyo
Si ile bia
Unakuta ndio ninako ka elfu 10 hakohako halafu mtu analeta shida zake hata kumnyima unashindwa.Za kukamuliwa ndio nzuri kukopesha
pichani Unaonekana mpole ila wewe unaongeaaaa 🤣🤣🤣!!
Sasa unataka nijitoe kama Yesu aliyojitoa msalabani?Yule Saint Anne mwenyewe 😅