Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ndugu zangu juzi walikuwa wananisema..Hadi nikaondoka.

Wanajadili..mmoja anasema yaani Mimi nimpe hela mtu ambaye siyo ndugu yangu??Siwezi!
Na nikimpa nahakikisha nadai🤣
Ndugu ukiweza kumpa; mpe kiasi ambacho unaweza kuafford. Ila kuna ndugu wazungu kwelikweli; wanakopa na wanalipa; Mungu awabariki kwa kweli. Kama unaomba omba ijulikane moja; sio unakopa afu kulipa hutaki kisa ni hela ya ndugu yako.
 
Akina mama huruma sisi ni mazoba.

Mimi as long as ni binadamu..awe ndugu au asiwe ndugu.
 
Inanipunguzia stress kidogo
Safi sana
Tupige vyombo
20211112225021.jpg
 
Back
Top Bottom