reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,427
- 29,306
Sijafikia hukoo na staki mwanangu awe hvyoooAcha tu.
Kuna kipindi ilikuwa inafika nakuwa Sina hata Hela ya kula, boom loote nimekopesha
Nyumbani wakaniambia wewe ni mpumbavu.
Nikiwa nikichukua hela zote namtumia mama.
Ananipa ya kutumia kila wiki.
Unajibana kula wali wa buku,unamhurumia mtu unamkopea elfu 10..badala ajibane ale chakula Cha buku siku 5 ,yeye anarudi na Chips yai mishkaki soda...Uliyempa hela unakula wali maharage.
Halafu kesho anakuja tena kuomba hela imeisha.





Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app




!!!upooo