Yaani kumbe ulikuwepo umekula pozi tuuIla asante Mjep nimepata.
Leo wanafunzi waliwekwa pending
🙏🙏🙏🙏
Yaani kumbe ulikuwepo umekula pozi tuuIla asante Mjep nimepata.
Pole sana madamNimekosa zoteyaani natoka nje narudii nakuta zishatumwa
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Safi sana 😂Nimekosa zoteyaani natoka nje narudii nakuta zishatumwa
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Weee mimi nikishasikia vocha hata kama nipo class, nawapa quiz ya ghafla natulia.Yaani kumbe ulikuwepo umekula pozi tuu
Leo wanafunzi waliwekwa pending
![]()
wewe ni mkali wa hesabu pamoja na changamoto hiyo lkn umepataVile nina siku nyingi sijanunua vocha za kukwangua. Hapo nilikuwa sijui hata vocha ipi ni ya mtandao upi![]()
HongeraAsanteeee mdhamini Mjep View attachment 2355401
Sitaki nina machungu sana niacheeeeee 🤣🤣🤣Ebu toa ushuhuda
Ahsante ngoja niendelee na majukumu sio riziki leoPole sana madam
Na venye ulizikalia mkao 😅😅Sitaki nina machungu sana niacheeeeee 🤣🤣🤣
Mi wa kwanza kwenda ,kurudi tu hakuna hata mojaa!
Mjep alisubiri nitoke
Sawa bwanaaView attachment 2355410
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Acha tu nilichangamsha akili kujua ipi ni ipi. Airtell nilizijua sikuhangaika nazo ila voda tigo na halotel acha kabisaKweli
wewe ni mkali wa hesabu pamoja na changamoto hiyo lkn umepata
Ningepata ningetupia live hapa Leo Ila next timeMadam mwenyewe mkali wa hesabu![]()







Ni Mimi huyooUchawi upo nyie
Nimekaa standby hapa, muda zinapostiwa muhindi akaniita ghafla nikapewa kazi
Daah natamani kulia maana siamini








Aki siaminiNa venye ulizikalia mkao 😅😅
Nimepata maumivu, wacha nikanunue pepsi baridi nijipoze
Nimekula 2,000 la voda 🤠🤠🤠Aki siamini
Amefanya vizuri za pichaAki siamini
We si mshkaji wangu wa damu kabisa eehNimekula 2,000 la voda 🤠🤠🤠