Carlos Tevez
JF-Expert Member
- Jun 8, 2022
- 383
- 1,021
Rafiki. Hujaotea hata moja?Acha hizo, vocha ni haki yetu sote humu
Rafiki. Hujaotea hata moja?Acha hizo, vocha ni haki yetu sote humu
🤠🤠🤠 Kwani mchezo wa rede unabaguaAf bado unagombania vocha na sie? 😂
Asa anataka apate ye mwenyewe jamani, sio poa wengine pia tuna shida na vocha atufikirieWe dada unanipa raha 😂🙌
🤣🤣🤣🤣🤣🤠🤠🤠 Si kama hivi nimepata 2,000 wewe umepata upepo ndio haki yako hiyo
Hilo mbona sio ajabu, as long as sijazaliwa nae 😂Mtaachana tu 😂😂
Wee...mtwara vijijini ya Wapi?mahurunga,kataya,msimbati,kitele,mbuo,hiyari,nanguruwe,madangwa?ziwani?mduhi,au madimba?Hii mtwara vijijin mkuu karibu sana ule korosho









Sikuwa hewani bestRafiki. Hujaotea hata moja?
Yani kumbe ukitulia tuliiiiiYeah name nimepata elf 2 zote Airtel..lain Moja n.ejaza nlikua nadaiwa nyingine sikua nadaiwa
🤣🤣🤣 ndio maana jeuriHilo mbona sio ajabu, as long as sijazaliwa nae 😂
Hii itakua jioni ukishatoka kwa mhindiAfadhali, saa ngapi ili nijiandae muda ukifika nikajifungie toilet muhindi akinitafuta anikose
Ndio wengine wako busy kumjibu Poker now nko busy kujaza na kujazaYani kumbe ukitulia tuliiiii
Kimya kimya
🙄🙄🙄 Jioni tena, nishakosaa mda wa kuwa na shangazi yenu huoHii itakua jioni ukishatoka kwa mhindi
Sasa chapa kazi
Ila usisahau kuselfika
Hii itakua jioni ukishatoka kwa mhindi
Sasa chapa kazi
Ila usisahau kuselfika
Tuchape kazi kwanzaKumbe hadi jion😳😳
Mweee jioni nishaikosa nayoHii itakua jioni ukishatoka kwa mhindi
Sasa chapa kazi
Ila usisahau kuselfika
Hiyo chini ni panic button eeeh? Mie mguu tu 😋😋😋 hadi nimechanganyikiwaMweee jioni nishaikosa nayo
National Anthem utanichukulia vocha zangu maana napitia kuleee kwa jana
📷View attachment 2355437
Sijui inaitwaje, tunachomekea extension cableHiyo chini ni panic button eeeh? Mie mguu tu 😋😋😋 hadi nimechanganyikiwa
🥰Mweee jioni nishaikosa nayo
National Anthem utanichukulia vocha zangu maana napitia kuleee kwa jana
📷View attachment 2355437
🤠🤠 Panic button sio kazi yake hiyo, nimechanganya file.. Wenye miguu ya hivyo mambo huwa ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥.. Kachomoe unileteeSijui inaitwaje, tunachomekea extension cable
Heheheee njoo ujiselfie nayo miguu 😂