reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,427
- 29,304
Weka na tigo pia we mjepKutakua na promotion ya voda hapa
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Weka na tigo pia we mjepKutakua na promotion ya voda hapa
😂😂😂😂Pole yake next time ntamtunzia nataka nikapashe nae kipolo......Mie narudiaga .makabichiMy dear ulipata nimefurahi maana Carrasco putin alikuwa haelewi aanze na ipi au amalize na ipi mara akosee, mara simu istuck mpaka nimemwonea huruma! 😂
Mtaachana tu 😂😂Kujishaua muhimu dada, sina stress za kuachwa 😂😂
Niwache nijishaue, nijidai na niringe
Mimi halotel 1000
Ata akiweka tena utaambulia manyoya kuna watu ni mwewe humu wanaspeed ya umeme! 😂 Labda wakuonee huruma madame!
Wacha nikae na kiswaswadu changu vizuri 🤠🤠🤠Kutakua na promotion ya voda hapa
Mfate akakupe huko huko 🖋️🖋️
Za ku copy na kupest au kama hizi?Kutakua na promotion ya voda hapa
Zifuatazo ni za kucopy and paste awamu kwa awamu maana viswaswadu wamewaonea watu humuu! 😂Za ku copy na kupest au kama hizi?
Tujiandae kabisa
Nahakikisha voda hapati mtu, nitatumia hata robot 🤠🤠🤠 waniachie tu vocha zanguZifuatazo ni za kucopy and paste awamu kwa awamu maana viswaswadu wamewaonea watu humuu! 😂
Afadhali jamani za kucopy n pasteZifuatazo ni za kucopy and paste awamu kwa awamu maana viswaswadu wamewaonea watu humuu! 😂
Bora iwe hivyoZifuatazo ni za kucopy and paste awamu kwa awamu maana viswaswadu wamewaonea watu humuu!![]()
Mtaumia simu yangu ina execute mbili kwa one, alafu niki select ina detect moja kwa moja mie naplace kijani pale kituuuuu 🤓🤓🤓🤓Afadhali jamani za kucopy n paste
Acha hizo, vocha ni haki yetu sote humuNahakikisha voda hapati mtu, nitatumia hata robot 🤠🤠🤠 waniachie tu vocha zangu
We dada unanipa raha 😂🙌Acha hizo, vocha ni haki yetu sote humu
Af bado unagombania vocha na sie? 😂Mtaumia simu yangu ina execute mbili kwa one, alafu niki select ina detect moja kwa moja mie naplace kijani pale kituuuuu 🤓🤓🤓🤓
🤠🤠🤠 Si kama hivi nimepata 2,000 wewe umepata upepo ndio haki yako hiyoAcha hizo, vocha ni haki yetu sote humu