Selfika na JF: Snap it. Show it

Hii michezo ya hela ukiitumia vizuri lazima uenjoy

Ulifanya jambo jema sana didi ake
 
Ila uninga wa kulilia mtu siwezi
Akiondoka namsindikiza na asije tena kunusa pua lake..aisee amtoa nduki.

Ukiondoka ondoka mazima na usonge mbele kama injili.
Kuna mimbuzi linaondoka halafu linakuja tena kukutext...hiyo jeuri anaitoa wapi?
😂😂😂 na unasindikiza kabisa ee

Wengine wanakuja kusalimia, sio mbaya

Kuna zile mbuzi zinazoendelea kukufatilia 😂😂😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Upatu, cashier akitokomea na pesa ni kisanga, nusu nilale mbele na mtu. Sitaki utani kwenye vijisenti vyangu.
😂😂Hatari sie hatutaki mtu kushika Hela ikifika zamu Yako ni moja Kwa moja bank kilamtu anatuma huko unakuja na risit
 
pole una roho nzuri
 
Unataka kukopa? Kakope salary adv yako huko
Mbona rahisi tu [emoji1787][emoji1787]

Ila mimi michezo sijui kama nitakujaga kuacha [emoji1787]
Ile kitu ni addiction
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie ndo siwezi kabisaaaa, yaan kila nkijaribu kuacha, nashindwaaa.

Toka niko 4m 5 had leo, siwezi kuachaa yaan.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…