Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,181
Mdogo wangu hapa anasema asante kaka😊Selfika na #halotel#
*104*5608813014623#
Mdogo wangu hapa anasema asante kaka😊Selfika na #halotel#
*104*5608813014623#
Unaingia online kwa ku beep sana☹️Mchumba si umenitenga sikuhizi
Nyie nahamia man u [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Boss fanya vocha basi hali mbaya [emoji856][emoji856]Selfika na #halotel#
*104*5608813014623#
Hiyo picha angalia kidevu 🤠🤠🤠 mbona kama bro flani vileNyie nahamia man u [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Khaaa [emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]Hiyo picha angalia kidevu [emoji1783][emoji1783][emoji1783] mbona kama mkaka
Tuache [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mna kocha sahivi?
Afu watu wa huu uzi
Kwanini hamtaki kunenepa
🤠🤠🤠🤠Khaaa [emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Unaenda wapi honeynikukute nyuki , tukale ice cream
Yasahau tu mdogo wangu nipo kwa ajili yako maumivu tena basiAcha tu ni uchungu
siwezi eleza
Boko California nipoUnaenda wapi honey
Nipo kimara huku jioni nitakuwa kibo hapo
Asante KakaYasahau tu mdogo wangu nipo kwa ajili yako maumivu tena basi
Safari kwa Antonnia imefikia wapi[emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji1783]
Uniletee madafuBoko California nipo
naenda zangu Mapinga shamba
🤠🤠🤠 Kanimwaga jukwaa flani live mzee hata sina hamu nae🤣🤣🤣.. Watu na damu zetu za kunguru weusiSafari kwa Antonnia imefikia wapi
Nani Kaka [emoji34][emoji34][emoji34]Asante Kaka
nishasahau yote
Carrasco putin vya shambani huwa vitamu sogeapo huko ujilea mema ya shambaniBoko California nipo
naenda zangu Mapinga shamba
Pesa mapene mavumba mpunga mawe aaah haijawahi kufeli😂😂😉🤠🤠 Pesa mwanangu.. Mwisho wa matatizo hapajawai kuwa na mwanamke mmbaya duniani.. Kama yupo nimekaa pale niite paka