Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mimi hapa nivozaaa nimeporomokaaa nimechakaa nimechujaaa balaaaa.. ubintini nilikua na huo mtrako Hakyanani trakoo kuleeee hipss sasa ndio usiseme.... nivobeba mimba tu mamaeee mzee ana nafuuuu nilikua kama kibibi cha miaka 102 uzazi !!
Wanawake wanene wakizaa ndo inakua hvyo Ila hujabadilika kihivyoo bado ni mremboo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Nakuona bishoo 🤠🤠🤠 picha za vyakula huku mfukoni tuna bati
Acha bro. Huu mwezi sijui unaishaje nina buku tu.. ila kuna mchongo nasikilizia..
PXL_20220912_104842968.PORTRAIT.jpg
 
Back
Top Bottom