Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Sijawahi jua kucheza😂😂😂 hatari sana hako ka challenge, sio ka kumshinda mtu lakini
Sijawahi jua kucheza😂😂😂 hatari sana hako ka challenge, sio ka kumshinda mtu lakini
Maisha bila Pombe yafaa nini?Maisha hayaendi bila ya hiyo kitu😊
Alilipa deni zangu
Usiite pombe ita Jack Daniels au JD😊Maisha bila Pombe yafaa nini?
Praise member unakosaje kujua?Sijawahi jua kucheza
Malizia banaSiku hizi bahasha zinabebwa? Si mwendo wa mail tu…
2018 kuna ofisi nilijibiwa jibu ambalo sikurudiaga kubeba bahasha nikaenda ofisini kwa watu
Ofisini yenyewe hata jina nishaisahau, iko posta mojawapo ya yale majengo pacha.
Khaa yule dada
Wakati mwingine nilimiss tu kuwa interviewed, nikaandika email ofisi flani wako Masaki, hawa walikuwa wametoa tangazo.. sema kuna ka factor kalikuwa kamenipush, 2020 hiyoo nilikuwa natamani kuhamq Arusha
Niliandika barua hiyoo? Nilikopa kingereza mtaa wa 7 nikajimaliza balaaa…. Nikaitwa interview, hiyo siku kwanza nilikuta more than 4 missed calls na sms juu ‘sisi ni flani flani pls tutafute..
Basi chap nikawapigia, yule mama baada ya salamu akaanza kuniambia yan we jobless na hukai karibu na simu una raha gani? Nilihisi kuwa offended
Basi tukaongea nikamwambia siko Dar na itakuwa ngumu kufika.. basi akanipangia Zoom …. Kwa mara ya kwanza nakutana na panel ya watu wanne … niliogopaaa, ila nikakaza
Hapo najua niko mahali na siwezi kurupuka nikatokapo, basi kipengele cha mshahara tarajiwa nikataja figure ambayo najua walidhani kabisa hili toto halina shida na kazi
Nikawa nishawasahau.. hiyo siku nakuta email’ we regret to inform you that…..
Sitaki tenaaaa🙌🙌🙌🙌🙌!!Jikusanye tena mje😂😂
Mchumba si umenitenga sikuhiziSijambo mchumba, vp wewe?
Ndio story imeishia hapo 😂😂😂😂Malizia bana
Hahahaaa!! Akaribie sana katika ulimwengu wa wamama! Kale kasura cute cute ka ubinti kwishaaaa!Hapa ndipo role ya mama inapokuja. Yani ukitaka kuzaa lazima ujikatae yani sura lazima ifomatiwe upyaa yani uvumilie vingi so na kina baba hapa ndipo muda wa kuwavumilia wake zenu sio ulimzoea pua mchongoko hapa lazima pua ijae kidogo kama andazi. Ila mwisho wa siku anakuletea Jembe au Mrembo kwa dunia. Hongera Jokate
View attachment 2354337
Naomba ile saa umeweka dp 😅Mchumba si umenitenga sikuhizi
Ila kama ana mwili mzuri kama wengine atarudi katka sehemu yake mapema tuu. Hahahahah kuna wengine wakizaa mwili unagomaaa yani ndo mwanzo wa kuharibika mazimaHahahaaa!! Akaribie sana katika ulimwengu wa wamama! Kale kasura cute cute ka ubinti kwishaaaa!
Hongera zake sana!!
Kwakweli arudi tu sis ...kalikua so kyutii!!Ila kama ana mwili mzuri kama wengine atarudi katka sehemu yake mapema tuu. Hahahahah kuna wengine wakizaa mwili unagomaaa yani ndo mwanzo wa kuharibika mazima
Afadhali 😂😂😂Sitaki tenaaaa🙌🙌🙌🙌🙌!!
nenepa tuwe vibonge wawiliKhee hayo majina yako nitanenepa mwaka huu