Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mimi hapa nivozaaa nimeporomokaaa nimechakaa nimechujaaa balaaaa.. ubintini nilikua na huo mtrako Hakyanani trakoo kuleeee hipss sasa ndio usiseme.... nivobeba mimba tu mamaeee mzee ana nafuuuu nilikua kama kibibi cha miaka 102 uzazi 🙌🙌🙌🙌🙌🙌!!
Kweli dunia ina mambo
Na mshepu wako huuhuu unasema uliporomoka?
 
Back
Top Bottom