Na mimi ninapoelekea nitakonda maana Junio si kwa kuendekeza kilio hivi🤷🏼♀️🙌🙌🙌Mimi hapa nivozaaa nimeporomokaaa nimechakaa nimechujaaa balaaaa.. ubintini nilikua na huo mtrako Hakyanani trakoo kuleeee hipss sasa ndio usiseme.... nivobeba mimba tu mamaeee mzee ana nafuuuu nilikua kama kibibi cha miaka 102 uzazi 🙌🙌🙌🙌🙌🙌!!
Nimekubaaali kumbe umzigula mbwawe......😁Sina mbuli myangu😁😁
Uzazi umeninenepesha
Hahaa... sema mida mingine inategemea ..hapo mwanzo mwanzo wa uzazi unapanukaaa ila wengine as days goes anarudi kwenye mwili wake!!Na mimi ninapoelekea nitakonda maana Junio si kwa kuendekeza kilio hivi🤷🏼♀️🙌🙌🙌
Santo sanaaa!! Uko so hoooott 😘😘😘
Nataka kupungua kidogo maana napata shidaa nachubuka nikitembea.Nimekubaaali kumbe umzigula mbwawe......😁
Hongera kwa uzazi madam kweli umekupendezesha alaf ndo unataka ufanye mazoezi? Hata mdogo wangu Saint Anne hawezi kukushauri
Hiyo buku ni mkononi tu, kuna za Mpesa, na bank.Acha bro. Huu mwezi sijui unaishaje nina buku tu.. ila kuna mchongo nasikilizia..
View attachment 2354436
Asante mpenziSanto sanaaa!! Uko so hoooott
Karibu sana Selfika Sheilla!
Mzigula wa kwediboma mnyanguNataka kupungua kidogo maana napata shidaa nachubuka nikitembea.
Nawe ni Mzigula wakuhi myangu?
nikukute nyuki , tukale ice creamMtoto mdogo una maumivu gani tena
Sheillah mamy Sheillah mmematch mkapendeza hatareeee🤩🤩YNWA
Aisee isijekuwa sisi ni ndugu😳😳Mzigula wa kwediboma mnyangu
Mashetani wekundu inakuwaje tena tumewaamini mkatuchania mkeka
wamenogaSheillah mamy Sheillah mmematch mkapendeza hatareee
Sawa Fury road 😂Najua nikilia njaa utasimamia shoo ya muhamala.
😂😂😂 mna kocha sahivi?
Mnooooooo!wamenoga