Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Dada yangu huwa ananiambia ukishaolewa zaa mapema haraka haraka..Umri ukisogea ni hatari kuzaa.

Yeye alikuwa anatamani mtoto wa kike ila ya Mungu mengi,akazaa haraka,wote wa kiume.
Sasa umri umemtupa mkono,anaogopa kuzaa Tena.
Kuzaa mapema ni muhimu aisee uzazi changamoto baadae labda tu iwe umebanwa na kazi au ,Mambo mengine

Mungu atujaalie kwa kweli maana bila yeye hatuwezi kitu .
 
My heartbeat
IMG_20220902_115702_74.jpg
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!! Juzikati nilimaintain Diet na mazoezi nilinoga kweri kweri!!
Naona njaa imeanza kwa speeed balaa!!
Kwa wanawake ku loose weight ni kazi sana kuliko wanaume tokana na sababu za kibailojia, halafu mwili huwa unakuwa against na wewe unapotaka ku loose weight, inaidi u force sasa,

Halafu belly fat ni ngumu mno kui break inabidi kujituma kweri kweri, sijui utafute mchungaji akuombee😆, kwa maana najua ni ngumu mno kuwa persistency... Hata ushauriwe, but last ukiuachia mwili utaonekana age ago...
 
Kabisaaa!! Ngoja nianze tena kumeintein tena japo juzikati Nilinunua hadi ule mkanda wa kupunguza tumbo ila unabana hadi basiii na ukiuvaa unaumiaa jamaniii!!
 
Kabisaaa!! Ngoja nianze tena kumeintein tena japo juzikati Nilinunua hadi ule mkanda wa kupunguza tumbo ila unabana hadi basiii na ukiuvaa unaumiaa jamaniii!!
Bora hata wewe Madame una juhudi..
Kuna matukunyema yamebeba matumbo hapa utadhani viroba vya mchanga.
Nawasimanga lakini wapi!
Nikiwasimanga sana wanaanza kunitisha kwamba wananisubiri nizae.

Wanakula mavyakula tu bila mpango.
 
Kuzaa mapema ni muhimu aisee uzazi changamoto baadae labda tu iwe umebanwa na kazi au ,Mambo mengine

Mungu atujaalie kwa kweli maana bila yeye hatuwezi kitu .
Kadiri siku zinavyosogea,hela ndio zinazidi kunipiga chenga aisee..
Ngoja nitafute kufa na kupona...
Mwakani mida kama hii nianze kutotoa watoto.
 
Eti wananisubiri.
Nikawaambia nyie endeleeni kusubiri..
Siwezi acha tumbo kama mifuko ya tembo cement.
Wamasingizia tumbo ni asili,eti Kuna ambao hawakufunga na hawana vitambi.. nikawaambia Kwahiyo na nyie mkaiga??

Wamesema wananisubiri ,Mungu atupe uzima😂
Na Mimi najiunga nao katika kukusubiri kwa hamu🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom