Kashaija72
JF-Expert Member
- May 18, 2020
- 2,522
- 5,576
Duuuh!!Shangazi achana na vijana hao, watakupaka paka jashotupo wajomba hapa.. Hapa tuna damu ya kutosha
Duuuh!!Shangazi achana na vijana hao, watakupaka paka jashotupo wajomba hapa.. Hapa tuna damu ya kutosha
🤠🤠🤠 Kikubwa kushiba tu, hasa ukiwa kibachle bachela. Siku ukitaka msosi wenyewe unajitoa outWanaume haturembi hata ugali na kachumbari haina shida,
🤠🤠🤠🤠 Hayo yana virutubisho vyenyewe kienyeji hiloNational Anthem ameshika mayai yako bila hidhini yako...
Wee yakwangu hayoo leo nimeletewa mayai nimeambiwa mbogamboga za majani magimbi viazi mihogo karanga tuangalie Wiki ijayo!National Anthem ameshika mayai yako bila hidhini yako...
Kabisa🤠🤠🤠 Kikubwa kushiba tu, hasa ukiwa kibachle bachela. Siku ukitaka msosi wenyewe unajitoa out
Protini iliyopo kwenye yai ni sawa na mtu ale boga zima kwa mujibu wa wataalamu, thats why kuna tu vyakula wazungu huwa wanakula unasema hivi anashiba kweli? tushazoea wali sahani ijae na maharagwe ya kutosha, unaweza kula kidogo lakini chakula kikawa na nutrients za kutosha...🤠🤠🤠🤠 Hayo yana virutubisho vyenyewe kienyeji hilo
Ndio ndiiioooo!!Protini iliyopo kwenye yai ni sawa na mtu ale boga zima kwa mujibu wa wataalamu, thats why kuna tu vyakula wazungu huwa wanakula unasema hivi anashiba kweli? tushazoea wali sahani ijae na maharagwe ya kutosha, unaweza kula kidogo lakini chakula kikawa na nutrients za kutosha...
Nakulea mengine shangazi mawili 🤠🤠Ndio ndiiioooo!!
Sawa mjomba Navopenda mayai mimiii😋😋!!Nakulea mengine shangazi mawili 🤠🤠
Kweli! Mtu anakula matunda mpaka anashiba top! lakini mwili unahitajj portion ndogo ya vitamins toka kwenye matunda...Ndio ndiiioooo!!
Unakula kwenye sufuria 😁Lizzy, Post M-alone karibu .. Pale mtu unaamka na njaaa... Kikubwa shibe.. 🤠🤠🤠View attachment 2351113
Labda ndio maana paka sasa hivi sio mzee na hata siwazi 🤠🤠🤠.. Nimetulia na wana waruka ruka tu.. Wanashangazaa LizzyUnakula kwenye sufuria 😁
Maza aliniambiaga kula hivyo sio vizuri eti baadae utakuwa huoi sijui kweli 💁♂️
Mambo si haya, kifurshi 🤠🤠Mbona kama unanisema mimi pilot lakini 😉 ! Hapa kazini break time nimekunywa chai na mixa karanga na mahindi makavu ya ya kukaangwa🤣🤣🤣!
Hapo Asubuhi nilikwambia dada aniwekee chai yangu na kiporo cha wali ndondo hapa nipo njiani nikifika tu muda huu huu naanza navyo!
Mchana menu iko palepale siachi kitu🤣🤣🤭🤭 Kweli nitapunguza hiki kitambi mimiii ?🙆🙆
Alaf lile beche nilijua pilau kumbe wali mweupe 😆🤣😂Labda ndio maana paka sasa hivi sio mzee na hata siwazi 🤠🤠🤠.. Nimetulia na wana waruka ruka tuView attachment 2351206
Its all about quality vs quantity, quantity ndogo but inakuwa ina high calories, high fat e.t.cMbona kama unanisema mimi pilot lakini 😉 ! Hapa kazini break time nimekunywa chai na mixa karanga na mahindi makavu ya ya kukaangwa🤣🤣🤣!
Hapo Asubuhi nilikwambia dada aniwekee chai yangu na kiporo cha wali ndondo hapa nipo njiani nikifika tu muda huu huu naanza navyo!
Mchana menu iko palepale siachi kitu🤣🤣🤭🤭 Kweli nitapunguza hiki kitambi mimiii ?🙆🙆
Wali asali hio, ushakula?Alaf lile beche nilijua pilau kumbe wali mweupe 😆🤣😂
Nikiona vidole vya kike sijui huwa napata hisia gani huko..Kwa hisani ya rafiki yake madam, Jonessia Saint Anne
Mungu nisaidie


Wali asali hapana kwakweliWali asali hio, ushakuka?
Haina kuremba...Wali asali hapana kwakweli
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!! Juzikati nilimaintain Diet na mazoezi nilinoga kweri kweri!!Its all about quality vs quantity, quantity ndogo but inakuwa ina high calories, high fat e.t.c
We unakula sana halafu mazoezi kidogoo 🤏, anza kulima..😀