National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,176
- 56,199
Download zako audiomackAifoni hizo🥺
Nilikuwa natumia videorder kudownload,tangu waichakachie nikaacha.
Hakiyanani huo mimbo nilikuwa nasikia sweet poteto tu🤣🤣🤣🤣
Kumbe ndio unaimbwa hivyoo??
Mm nautaka wa Oliver twist nicheze hapa.
😋😋😋😋!Lizzy, Post M-alone karibu .. Pale mtu unaamka na njaaa... Kikubwa shibe.. 🤠🤠🤠View attachment 2351113
🤠🤠🤠🤠Nikubakishie😋😋😋😋!
Nina ubao na break naona hata haifiki uwiiiii!!
Kabisaaa Mjomba!!🤠🤠🤠🤠Nikubakishie
Utakiweza, maana kimeungua vibayaa yaani 🤠ðŸ¤Kabisaaa Mjomba!!
Kwa ubao nikionao Sita jua kama kimeungua Hakyanani!Utakiweza, maana kimeungua vibayaa yaani 🤠ðŸ¤
Nimekimimia asali ya kutosha 🤠ðŸ¤Kwa ubao nikionao Sita jua kama kimeungua Hakyanani!
Asali utaharibuuuu kiporo shurti kisiwe na mambo mengiii mjomba!!Nimekimimia asali ya kutosha 🤠ðŸ¤
Ohooo ndio nilitia asali kibao kiwe kitamu tamu.. Nimemaliza bahati mbaya 🤠🤠ðŸ¤Asali utaharibuuuu kiporo shurti kisiwe na mambo mengiii mjomba!!
Ahsante sana mkuu, nimemiss pilauLizzy, Post M-alone karibu .. Pale mtu unaamka na njaaa... Kikubwa shibe.. 🤠🤠🤠View attachment 2351113
Pilau likipikwa vizuri huwa ni 🔥🔥🔥.. Katika vyakula pendwa na ambavyo najua kupika kwa mtindo nitakao bila wasi wasi huwa ni tambi na mboga mboga.. Ila vingine iasee ni tia maji tia mjai bora kushiba 🤠🤠ðŸ¤Ahsante sana mkuu, nimemiss pilau
Kwa kweli pilau asali sijawahi onja, labda biryani na zabibu kavu ilikuwa ni nzuri balaa!Pilau likipikwa vizuri huwa ni 🔥🔥🔥.. Katika vyakula pendwa na ambavyo najua kupika kwa mtindo nitakao bila wasi wasi huwa ni tambi na mboga mboga.. Ila vingine iasee ni tia maji tia mjai bora kushiba 🤠🤠ðŸ¤
Mkuu hiyo sio pilau msosi uliungua tu 🤠🤠🤠🤠.. Nimezoea asali na wali. Mboga nitakomba badae kabisaa baada ya kumaliza ubeche.Kwa kweli pilau asali sijawahi onja, labda biryani na zabibu kavu ilikuwa ni nzuri balaa!
Tambi ndio misosi yetu hio mabachela..
Aisee nimeona pilau😂, hapo tambi na ile mboga ya mayai ka fast food flani ka ki bachela, tambi unaweka kwenye thermos na maji moto, ukirudi kutoka mizungukoni unatengeneza mboga ya mayai imeisha hio, mimina tambi toka kwenye thermos imeisha hio, haina kuremba😋😋Mkuu hiyo sio pilau msosi uliungua tu 🤠🤠🤠🤠.. Nimezoea asali na wali. Mboga nitakomba badae kabisaa baada ya kumaliza ubeche.
Tambi ni chap chap haili mda mwingi.. Na ni nzuri sana
🤠🤠🤠Tambi na mayai ni pacha hao.. Huwa vina match sanaaAisee nimeona pilau😂, hapo tambi na ile mboga ya mayai ka fast food flani ka ki bachela, tambi unaweka kwenye thermos na maji moto, ukirudi kutoka mizungukoni unatengeneza mboga ya mayai imeisha hio, mimina tambi toka kwenye thermos imeisha hio, haina kuremba😋😋
Wanaume haturembi hata ugali na kachumbari haina shida,🤠🤠🤠Tambi na mayai ni pacha hao.. Huwa vina match sanaa
National Anthem ameshika mayai yako bila hidhini yako...Kutoka kwa rafiki yake madam, Jonessia Saint Anne