Una sh ngapNitumie wasap
Sasa nani kataja Iphone mdogo wangu 🤣🤣Ona sasa mnatumia simu kama mpo gerezani🥺,
Ona nimeukosa wimbo ningemforwadia huyu kiazi kitamu.
Nilisema mimi hata nikiwa na hela iphone sitaki..hizi tecno wereva nitamuachia nani sasa?
Nina black beauty nimemuweka mfuko wa shatiUna sh ngap
Hivi ni wapi niliandika aifone ? Simu ni xiaomiUnajikuta na aifone 6 yako, akati watu wako 14 pro saivi
Aifoni hizo🥺Sasa nani kataja Iphone mdogo wangu 🤣🤣
Download banaaa
Wimbo kaimba Dbanj,, fall in love
Tatizo la tekino kakishaingia vumbi
Kakianza kujaaa
Kataanza kustack balaa
Nazungumzia hizi tekno zetu za 350 kuja chini
Yote yaliandikwaSocial media in this days! Tafakuri ya Leo ♌.View attachment 2351067
Dada yangu huwa ananiambia ukishaolewa zaa mapema haraka haraka..Umri ukisogea ni hatari kuzaa.Amen , maisha ndo haya bora uzae mapema .
Nawapenda watoto
Halafu ni wa kiume ujue!! Wengi wao wanakimuona usoni wanajua wakike !! Sasa kuna Siku alivaa nguo za dadake 🙆🙆🙆🙆!Pacha wako huyo🥰🥰🥰🥰
Mnafanana🙌
Hivi kuzaa huwa inakuwaje?
Lile tumbo linaning'inia huwa haliumi?🥺❤️
Nahisi nitakuwa nakaa tu hakiyanani...lile tumbo nikiona nasisimka.
Nimeamkia guestLeo alikodamkia Putin Pazuri...! Full maupako !
Aisee🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Halafu ni wa kiume ujue!! Wengi wao wanakimuona usoni wanajua wakike !! Sasa kuna Siku alivaa nguo za dadake 🙆🙆🙆🙆!
Wakiume kufanana na mama siio poa kabisa!!
Watoto ni barakaHahahaaa...... Sikupatii picha Anne ukiwa na tumboo kuleee hahaaaa!!
Watoto ni barakaaaa!
Saivi nimemisi kachangaa hatareee ngoja mtu arudi nitotoe ka mwisho na kufunga kizazi kabisa Walai!!
Kumbe Ukiacha mawenge ni bonge la mtu!! Hizo Bange zako ndio zinakuharibu!Nimeamkia guest
🤣🤣🤣🤣Nina black beauty nimemuweka mfuko wa shati
Namba ni Zile zile 😂🤣🤣🤣🤣
Nakutumia shogaa, nitume na salio mpesa pia?