Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hapana; relax kabisa. Ukiamua kupambana na kitambi kweli; kitakutii tu. Mbona wengi wamezaa na Wana flat tummies? Nilikuwa nastress tu kwamba fat ya kwenye tumbo ni kipengele kinachohitaji juhudi haswa. Au unaweza ukawa huna asili ya tumbo at all; so utapeta tu.
Mimi huwa nafikiria sipati majibu..
Mbona mama zetu hawana vitambi?
 
Back
Top Bottom