Aiseee😂😂😂😂😂😂😂😂Kila siku ni baraka kutoka kwa Mungu. Unaweza kufanya mambo mengi ili kuishi maisha bora. Kwa hivyo fanya chochote unachopaswa kufanya ili kupata yako mafanikio.
Asubuhi njema watu wa Mungu mbarikiwe sana
Gooooooooooooooo 🤣🤣Kwa raha zangu 🤪
Sijibu..
Leo alikodamkia Putin Pazuri...! Full maupako !Aiseee😂😂😂😂😂😂😂😂
Sema alishayumbisha hii picha,haifai Tena😒Thubutuuuu!! Uwe nae utambe!!
Kweli si kwa akili zake,ni mkono wa BwanaLeo alikodamkia Putin Pazuri...! Full maupako !
Hahahaaa...... Sikupatii picha Anne ukiwa na tumboo kuleee hahaaaa!!Sema alishayumbisha hii picha,haifai Tena😒
Pacha wako huyo🥰🥰🥰🥰Hahahaaa...... Sikupatii picha ukiwa na tumboo kuleee hahaaaa!!
Watoto ni barakaaaa!
Saivi nimemisi kachangaa hatareee ngoja mtu arudi nitotoe ka mwisho na kufunga kizazi kabisa Walai!!
Amen Amen MadamHahahaaa...... Sikupatii picha ukiwa na tumboo kuleee hahaaaa!!
Watoto ni barakaaaa!
Saivi nimemisi kachangaa hatareee ngoja mtu arudi nitotoe ka mwisho na kufunga kizazi kabisa Walai!!
Madam huyu mtoto mbona anafanana na mimi!Hahahaaa...... Sikupatii picha ukiwa na tumboo kuleee hahaaaa!!
Watoto ni barakaaaa!
Saivi nimemisi kachangaa hatareee ngoja mtu arudi nitotoe ka mwisho na kufunga kizazi kabisa Walai!!
🤣🤣🤣 Its a matter of time utajua tu kama linauma ama laaahh! Usiombe lije na visanga vyake sasa!!Pacha wako huyo🥰🥰🥰🥰
Mnafanana🙌
Hivi kuzaa huwa inakuwaje?
Lile tumbo linaning'inia huwa haliumi?🥺❤️
Nahisi nitakuwa nakaa tu hakiyanani...lile tumbo nikiona nasisimka.
Ameeeennn dear unatotoa zako mapema unamalizaaaa nakula maisha tyu!!Amen Amen Madam
NaendaaaaaaaGooooooooooooooo 🤣🤣
Khaaaa(Kwa sauti ya Coca)😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣 Its a matter of time utajua tu kama linauma ama laaahh! Usiombe lije na visanga vyake sasa!!
Mie Huyo hapo viporo vya ugali dagaaa miezi 9!! Asubuhi mchana Jioni ugaliiii dagaaa huniambii kitu!
Hahahahahahaha!!Madam huyu mtoto mbona anafanana na mimi!
Amen , maisha ndo haya bora uzae mapema .Ameeeennn dear unatotoa zako mapema unamalizaaaa nakula maisha tyu!!