Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kuna watu nmewamiss humu,,Watu wa mungu hamjambo
img_4_1662497110829.jpg
 
Mnajirudi ila mwenzio unakua ushamjeruhiii vyakutoshaaaa kihisia / mapenzi yote kwako yanaishaaa yanakataa kabisaaa inabaki tu no way ni mume wangu sasa nifanyeje teenaaa wengine Ndiokwanzaaaa unakua nayeye nikama umefungulia mbwaaaa.. mioyo imetofautiana ohooooo
Mie Naenda kupanda vimaharage one time nitarudi
Unasamehe maisha yaendelee. Kumbe nobyara!
 
Back
Top Bottom