Nina naile mundende sijui ipo kwenye kichupa boksi lake juu lina picha ya mshedede umesimama na zile dawa fulani hivi za kama mizizi myeupe huku uhayani zimejaa sana !! ngoja nikienda dukani nitapiga picha nikuoneshe mjomba kazi ni kwakooo
Enjoy ππβοΈβοΈβοΈ!