Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Dah masikini🥺
Pole.

Mtumishi mmoja anasema mpe Mungu moyo wako .
Ukiweka moyo wote Kwa rafiki au mchumba ,siku wakikuumiza utaumia sana..
Lakini Mungu ukimpa Moyo wako hawezi kukudisappoint..
Hata kama utakuwa disappointed na wengine bado utakuwa na nguvu maana yupo Mungu ambaye umempa nafasi Kubwa na ni WA thamani kuliko vyote.

Na Mungu ukimpa nafasi yote Moyoni, basi hapatakuwa na uwazi wa kubeba watu waliokuumiza.
Thank you dear

Nakuwa peke yangu muda mwingi , faraja yangu ni nyimbo na kumtegemea Mungu .

Yesu ni wimbo wangu
Furaha ya moyo wangu
Yesu ni wimbo wangu
Furaha ya moyo wangu Yesu
Yesu rafiki yangu Mungu wangu
We ndio mpenzi wangu sitakuacha
Niende wapi nimekuchagua wewe
Nifuate nani kwako kunautulivu
 
Bado kuna watu wazuri na wema..
Mungu atawaleta.
 
😃
Mimi nimejifunza kutoweka matarajoo makubwa kwa watu.
Watu wanabadilika aisee...
Unayedhani ni rafiki yako kumbe hata,, mwenzio hakuoni hivyo.
Unamchukulia mtu kama ndugu yako Kumbe mwenzio walaaa.

Akufaaye Kwa dhiki hiyo ndiye wa kubaki naye.
Bonge la point dear
Expectations always hurt
Laiti Mungu angekuwa anatupa ufunuo wa watu , nahisi tusingehata ongea nao .

Mwaka huu ulikuwa mgumu kwangu Ila Mungu bado yupo still fighting for me .
 
😆😆😆😆Kumbe ulikuwa zazwaaa ebu nchekeeee unanilili na kushindwa lala kisa
Yah nilipata stress.
Nikawaza huyu mbona ameamua hivyo wakati tulikubaliana vizuri kusubiri nimalize shule ndipo tuanze mambo mengine.
Zikaanza pilika pilika za ugomvi ili ipatikane sababu.
Nikagive up kweli.

Watu wakawa wanasikitika Hawa watoto vipi tena,akawa anajiwahi kuwa eti nilipoenda shule nikawa busy.
Sasa wazazi watupe ada halafu nizembee kusoma nidisco!
Masomo tu yalikuwa yananipeleka puta.
 
Yeah , watu wazuri wapo
Anyway we should always pray maana shtetani yupo kazini ..huku tukimtumainia Mungu muweza wa yote
Kweli shetani pia yupo kazini.

Yaani wewe kama Mimi..sipendi kujiattach sana na watu..Mambo ya kuja kupigana matukio na marafiki Wala siyataki.
Naongea na kila mtu lakini muda mwingi nakuwa mwenyewe.
 
Yah nilipata stress.
Nikawaza huyu mbona ameamua hivyo wakati tulikubaliana vizuri kusubiri nimalize shule ndipo tuanze mambo mengine.
Zikaanza pilika pilika za ugomvi ili ipatikane sababu.
Nikagive up kweli.

Watu wakawa wanasikitika Hawa watoto vipi tena,akawa anajiwahi kuwa eti nilipoenda shule nikawa busy.
Sasa wazazi watupe ada halafu nizembee kusoma nidisco!
Masomo tu yalikuwa yananipeleka puta.
Aisee? pole sana
 
Bonge la point dear
Expectations always hurt
Laiti Mungu angekuwa anatupa ufunuo wa watu , nahisi tusingehata ongea nao .

Mwaka huu ulikuwa mgumu kwangu Ila Mungu bado yupo still fighting for me .
Tena wanaojionyesha kuwa wema machoni ndio huwa wabaya hao acha kabisa.

Kikubwa ni kupunguza matarajio,,Tenda wema nenda zako.
Akikutendea mabaya basi Mungu mwenyewe atalipa.
 
Back
Top Bottom