Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

😂😂😂😂😂😂
Kwenye battle...
Purukushani za watu aisee dada wa watu wakakugeuza kumalizia hasira.
Hahahaaa... hebu nicheke kwanza mie "kkhhaakhaaaaaa"🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤭🤭🤭🤭

Mie Nishamaliza kucheka Anne sitii nenoo Mie 🤣🤣🤣🤣💃💃💃💃🤸🤸🤸!
 
Ndioooooooooo!! Unajiua huku wenzio wanaendeleza kuikatikia wanakula maishaa maninaaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!
Hivi nilisema sitii nenoo eee[emoji6][emoji6][emoji2960][emoji2960]!!
Hapaa nasoma komenti tyuuu[emoji144][emoji144][emoji144][emoji1787][emoji2960]
Maneno ya kibabe
 
Back
Top Bottom