Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sio tusi hata, ni mavutio ya hisia za kimapenzi kwa mtu fulaan.

Vipi sasa kumjadili na kubishana mda wote, juu ya mtu fulan kwan mnataka nn kwake? Si mmeshautangazia umma na wamesikia??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kuna jingne tena?

Kila siku mada ni hiyo hiyo, khaaaaaaaah. Kwan lazima wote waelewe na kukubali wasikiacho?? Kila mtu aamini anavyoona yeye kwake ni sawaa.

Mmeishiwa vya kujadili?????? Khaaaaah
Sasa kama unatambua hilo using'ake ukiitwa team LBBTQ...
 
Amkeni mselfike
FB_IMG_1662408421760.jpg
 
Ninatambua kuwa si mara yangu ya kwanza kueleza hili, hata hivyo siwezi kuacha kukushukuru kwa uwepo wako mzuri na jitihada zako nzuri. Asante. Sana Tinsley mrembo mwenye sauti ya kumtoa Mjep mgodini mpka kumvuta chumbani kwako [emoji120][emoji120][emoji120]
Hahahaha aisee
Sauti niliyonao sasa 😂😂
 
Back
Top Bottom