Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nunua tambi hapo zikusogeze
Maharage chemsha kwa chupa ya chai upunguze matumizi ya umeme
Nifundishe kupika tambi jaman kuna mtu alikuja home hapa nikaona anapika tambi kwenye flampen kaweka hoho karoti viungo kama vyote zilikuwa tamu balaa wakati mm tambi napika naweka maji naziweka humo maji yakiisha nakula
 
Back
Top Bottom