Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,307
- 32,790
Kwahyo tunafanyaje sasa mdogo wangu
Kwahyo tunafanyaje sasa mdogo wangu
Ungesoma tu kisutu ningekuwa jiran yako hapa jamuhuri secondaryNdio Ile shule ni private tena St.nani
Ningejua ningeenda zangu tu Kisutu tu mie .
Hahaha mlipatia huyo mwalimu
Nilipangiwaga shule ya Boyz tupu nikawaza yani nisome madume tupu siweziNdio Ile shule ni private tena St.nani
Ningejua ningeenda zangu tu Kisutu tu mie .
Hahaha mlipatia huyo mwalimu




ukimkumbuka michezo ya scratching totoz wakat wa prepo 


Special diet ilikuwa viazi na nyama aisee sasa ilikuwa watu wachache kweli wanakula ...Watu wasio na uwezo bana hahaha
Wanachukia mwenzao kula vizuri!
Si wangekuwa chawa wako tu kazi inaisha.
Siku ya kwanza nimeenda hostel sikula.
Ilikuwa ni jioni,,chakula ni kande.
Kufika kesho nikakuta ugali na maharage.
Kumbe mzunguko ni huohuo masikini mimi.
Hahahah wewe ulikuwa mtundu huko shule . Umesoma Arusha huko kwa wasabato au IkizuNilipangiwaga shule ya Boyz tupu nikawaza yani nisome madume tupu siwezi
nikahama zangu nikaenda shule za cha wote secondary yani mpka unafurah kila siku uende shuleukimkumbuka michezo ya scratching totoz wakat wa prepo
![]()
Hahaha nilipenda Ile shule sanaUngesoma tu kisutu ningekuwa jiran yako hapa jamuhuri secondary
Umeshaharibu siku yangu mpka umtaje crush wakoHahaha nilipenda Ile shule sana
Advance nilienda Tambaza .
Crush wangu wa utotoni alikuwa anasoma hapo .. umenikumbusha mbali






Nahisi akili za utoto zile .. walijua kunichamba kweli . Mmoja nilikutana nae chuo mwanzoni sikutaka ushoga nae Ila Mungu huyu . Tuko marafiki hadi leo .Watu wasio na uwezo bana hahaha
Wanachukia mwenzao kula vizuri!
Si wangekuwa chawa wako tu kazi inaisha.
Siku ya kwanza nimeenda hostel sikula.
Ilikuwa ni jioni,,chakula ni kande.
Kufika kesho nikakuta ugali na maharage.
Kumbe mzunguko ni huohuo masikini mimi.



He's no longer my crushUmeshaharibu siku yangu mpka umtaje crush wako![]()
Umependeza punguza kitambi utapasuka shemejiKazi iendelee!!![]()
Hahahaa!! Halafu kinataka kuanza tena!🙆🙆🙆🤔Umependeza punguza kitambi utapasuka shemeji
Hiko kiti sijui dawati kweli linafaidi![]()
Amina😍😍Kazi iendelee!!✌️
Habari za wewe sis ake muke halali ya Carrasco putin!!✋Amina😍😍
Ety ccy Antonnia mtu akiwa na shingo kama yako Kuna uwezekano akawa mnene sanaMchana wote wawaza ngono tu !!
Ndiokwanzaaa tarehe 5!! Utaisoma namba awamu hii!!
Salama ccy uko poa....Habari za wewe sis ake muke halali ya Carrasco putin!!✋