Selfika na JF: Snap it. Show it

Mpaka mwenyewe umewaonea huruma masikini dah!

Walikuwa na hali gani wakati wakiliosha hili guu? 😁😁😁😘😘😘
Huwa nawaoneaga huruma sna maana mguu ni mzito aloo…akianza kuusugua dakika tano nyingi jasho linamtoka😁😁😁..nikishakula kaptura yangu woi najidai kama simuoni but deep down naujua…🤣🤣
 
Kuku alipatikana lakin🤣
 
Acha tu kipenzi!! Asante!! Na kupona kwake napo it takes time!! Sema nashukuru mungu nimepata nafuu walau
 
Niko poa kabisa. Man u wamefanya nimalize weekend yangu vizuri sana.
Ahaa nikasema au umeamua kumrusha Depal roho na ww?
Hahaa hongereni mno, so tunaenda kujipongeza wapi na ushindi huo

Nilimlipizia na yeye ili afeel the feeling😅
Nimegundua kumbe ananipenda maana alikua anapiga simu kama zote adi kanipata😂😂
 
Nini kimekukuta?

Sharti la kwanza nikijua naenda kusugua masagamba ni lazima nivae kipensi 🤣🤣
😂Nilikuwa ugenini sehemu nikataja nifanye facial usowang sikuhiz haujakaa sawa nikatafuta saluni nikakosa nikaingia ya kiume nikaona facial ni kipengele nikamuomba anifanyie scrub 😂
Nikasuguliwa wew inafutwa napakwa nyingine akasugua sura akafuta akapka nyingine mara ya nne nikamstopisha 😂😂akasema na shingo nikamwambia acha akasema bas nimalizie sura nikupake Tena 😂😂
Nikakubali akapaka akanisugua uso akanambia dada vipi nikufanyie scrub na lips😂😂nikaona mambo yashakua mengi nikamwambia nifute niondoke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…