Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Una bahati sijakuzoea....

Ningeshusha nondo hapa za kueleweka. Niseme tu mtazamo wako ni pevu na sahihi. I wish mabinti wote wangekuwa na mtazamo huu chanya. Tungezuia desperation, depression na kuingia kwenye ndoa mfu! Uko vizuri sana Tinsley [emoji122][emoji122][emoji122]
Hebu shusha hizo nondo, mie nipate madesa,
 
Shida Sana changamoto tunazopitia
As if kuolewa ni kazi rahisi zama hizi .
Mtu inabidi ukae zako , akitokea wa kubeba sawa .. Kama sivyo uishi mwenyewe tu
Ahsanteeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!

Kuolewa na kuoa sio lazima, ni hiyariiiiiii,
Kuna maisha mengine nje ya ndoa, weraaaaaaaaaaah.

Una akili saana dear, yaan unataka zawadi gan nikupeeee. Umeandika kitu had moyo wangu umekunjuka, woyoooooo!!!!
 
04A9A7C5-A7D2-4DC8-BB4D-2F6701D45FEB.jpeg

Ila hawa wakaka wanapitia changamoto jamani kh😀😀
 
Back
Top Bottom