Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 72,009
- 177,302
Asante madam!Karibu
Asante madam!Karibu
Nawapenda tu hahaha
Mpo sweet sema wabahili hilo linavumilika






bila ubahili maisha hayaendiNdevu za wapi aseme



Haha kweli hizo ndo principle zenubila ubahili maisha hayaendi
Pambana na halii yakooo ! Ndiokwanzaaa tarehe 4 hadi ifike 23 utaona rangi zotee!!Tatizo natumia simu ya tochi Sina smartphone![]()
Ulifika salama sophy27 wangu jamanKweli ya mchongo
Tulia ww wakti nimepata dili la chanjo limeni boostPambana na halii yakooo ! Ndiokwanzaaa tarehe 4 hadi ifike 23 utaona rangi zotee!!





Karibu upareni mremboHaha kweli hizo ndo principle zenu
Marahabaa mjukuu mpole usiye na makuu. Stay blessed 🙏🏿
Thank youMarahabaa mjukuu mpole usiye na makuu. Stay blessed 🙏🏿
Nilionaaa mlizagaaje majumbani na polio yenu!!Tulia ww wakti nimepata dili la chanjo limeni boost![]()
Na hata Sijui kama leo ni wikend aisepoa kbs kipenzi,week end inasemaje
Na ubahili wenu 🙌🙌!!Karibu upareni mrembo
Niko poa kabisa. Man u wamefanya nimalize weekend yangu vizuri sana.Hahaa njema dear, nilikua sina bando
Nilikumiss sana jamani, uhali gani
Yule beki 3 wako kapata chanjo kweli nataka nimpe chanjo ya pekee akeNilionaaa mlizagaaje majumbani na polio yenu!!
Ulisha date na mwanaume wa kipare wwNa ubahili wenu!!
Umebanana kazini binti? Pole sana ila ndo vizuri. Yo Daddy is extremely proud of you 👏👏👏🙏🏿Hivi kumbe leo ni wikend na sijui 🙄🙄