Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Shougaaaaaa angu u single rahaaaa, [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]

Imagine 6×6 nalala pekee angu, na navopenda kulala kwa kujitawala, bas nageukaa mara 4 kabisaaa na sianguki

Single 4revaaaaah, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakuelewa hapo kwa bed , unajiachia zako . Huna habari
Single for life 😂😂😂
 
Bulldozer
IMG_20220904_192109_573.jpg

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Shida Sana changamoto tunazopitia
As if kuolewa ni kazi rahisi zama hizi .
Mtu inabidi ukae zako , akitokea wa kubeba sawa .. Kama sivyo uishi mwenyewe tu
Una bahati sijakuzoea....

Ningeshusha nondo hapa za kueleweka. Niseme tu mtazamo wako ni pevu na sahihi. I wish mabinti wote wangekuwa na mtazamo huu chanya. Tungezuia desperation, depression na kuingia kwenye ndoa mfu! Uko vizuri sana Tinsley 👏👏👏
 
Asante sana kwa kunielewa
Mambo mengine hayahitaji kulazimisha . Just let things flow , napenda kuwa optimistic muda mwingine.
 
Back
Top Bottom