Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,249
Nipo nimekaa pale tayari Kwa kuwacheka.Depal za mtoko? Usisahau kutusupport leo majira ya saa 4. Mshtue na Saint Anne
Nipo nimekaa pale tayari Kwa kuwacheka.Depal za mtoko? Usisahau kutusupport leo majira ya saa 4. Mshtue na Saint Anne
Richie kama richieOff day,well spentView attachment 2342488
sophy27Richie kama richie
Nambie sophieRichie kama richie
Ndyoooooooh.Umemaliza PT?
🤣🤣Atuambie tu aunt I miss usasaa tufanye vuruguuu.
Nipo tu hakuna jipyaNambie sophie
Niambie mambo vipi
Nadhan hapa cyo sehem sahihi kwa swali lako na cdhani kam utapata majibu kwa harakaHbr Wakuu,
Kwa wanaokifahamu chuo cha Tandabui Mwanza..
Hivi ni kweli kinatoa kozi ya Business Administration?
Ebhanaeeee 🔥🔥🔥
Kwa upande wangu navyojua hapana hakitoiHbr Wakuu,
Kwa wanaokifahamu chuo cha Tandabui Mwanza..
Hivi ni kweli kinatoa kozi ya Business Administration?
Vp mkuu raraa rereeEbhanaeeee 🔥🔥🔥
Balaa zito si umeliona mzeiya naweweseka tu apa 😀Vp mkuu raraa reree
Hapo itabid umuulizee vzuriAhsante Mkuu,
Kuna dogo kaambiwa ameombewa nafasi ya Business Administration katika hicho chuo ila kumbukumbu yangu ya matangazo ya hicho chuo ni afya..
Sasa nashindwa kuelewa kanidanganya kwa makusudi au waliomwambia wamemuombea hiyo nafasi ndio wamemdanganya na yeye kaamini...
Soon she will be travelling there kwenda kutumia hiyo fursa..
Hiyo mali ni safi kabisa shemeji yako huyo! 🤗 Baba mkwe wangu yupo humu anaitwa National AnthemBalaa zito si umeliona mzeiya naweweseka tu apa 😀