Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,508
- 203,230
Ugali, mboga za majani na 🥩??😶ila si unajua jioni huwa napenda nini😊😊😊
mboga za majani majani na supu yake kama mchicha hivi au majani ya maboga na boga lake 😁😁Ugali, mboga za majani na 🥩??😶
Washkaji wako wanakula maisha 😁😁
Umemaliza PT?Mzungu koko.![]()
Naskia mmebebwa dakika ya 97🙄Mlete mlete huyo NYU casto kama ni kabia basi kepesi sana..
Ilibaki kidogo iwe nyumbu.
Sisi ni level ya Jack Daniels
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Endelea kuotaNaskia mmebebwa dakika ya 97🙄
Me sikuelewa ujueNaskia mmebebwa dakika ya 97🙄
Kuna 5/5 huku mtaani, tupe hongera.Nipo .. kunani?
Aunt😍😍Good morningView attachment 2341527
Na wewe selfika madam wamelala
Kwakweli na hii mida mizuri bado hawajaamkaAunt😍😍
Leo nimeamka na bahati
Good morning my love😍 Utaua mapigo Lizzy nimekubali jeep Wrangler ni halali yako i promise nitapambana mpaka your birthday nikusurprise na your dream car! Mi hoi kabisa mrembo utasema under 18 flat tummy! Soft lips guu la bia aww! My heart beats for you! Likizo ijayo twende hata ibiza au Maldives tukastress out.
Hatari shekheee 😁😁😁Good morning my love😍 Utaua mapigo Lizzy nimekubali jeep Wrangler ni halali yako i promise nitapambana mpaka your birthday nikusurprise na your dream car! Mi hoi kabisa mrembo utasema under 18 flat tummy! Soft lips guu la bia aww! My heart beats for you! Likizo ijayo twende hata ibiza au Maldives tukastress out.