myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,792
- 721,062
π€£π€£π€£π€£π€£ππππ boda anaweza bamizwa,, madogo wa chuga jau sanaaa
Eti ananiambia D muulize akakwambie kwann amekipeleka nje, Kwani mm sina πππ mtu namgharamikia kila kitu β¦
Nikamwambia relax
Then exhale
Bla bla kibao hapo kati, jamaa akapoa kidogo.. hadi huruma π akakaa chini
Akanambia nimekuelewa, nenda na Samahani kwa usumbufu
Nikasepa ππππ
Hii sauti kuna nyakati me mwenyewe siielewiπ
Kuna siku mama alinambia kaza sauti ukiongea na mm ππππ


