Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,472
Nashukuru MUNGU hali yangu nzuri/salama kabisa LenieAbee T 1990 ELY
Uhali gani
Nibakizie naja asahivi , namalizia kupiga push up ya 500 😁😁
😁😂😂 nipo hapa na Dr wa uchumi tunaandaa tozo mpya, mjiandae kukabiriana nazoNational Anthem habari za masiku? mnatunyima nini huko?, familia na watoto? tozo vipi zinaendelea?, aisee ni miaka mingi tumepotezana...
Leo usisahu kupita home kunisalimia basi 😁😁😁
Ndio niko njiani hivo😅😅Leo usisahu kupita home kunisalimia basi 😁😁😁
Sijajua wanyakyusa wanaitajeKwa kinyakyusa ndio mnaita majabhu au nimekosea?
Parachichi mbona halipo?
Kwani hajui kuwa wewe ni mchumba wake?Eti mchumba tumerudiana? Saint Anne








🤣🤣Kwaiyo tufanye vuruguMlivyo tulia kama hampo single vile![]()