cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,161
- 181,296
Tandabui ni afya peke nyekeSawa Mkuu,
Nilitaka kupata uhakika kwanza kabla ya kuibua wasiwasi..
Shemeji 😌😔😪Hiyo mali ni safi kabisa shemeji yako huyo! 🤗 Baba mkwe wangu yupo humu anaitwa National Anthem
Ni level ipi anayoenda huyo dogo, Diploma au Degree?Ahsante Mkuu,
Kuna dogo kaambiwa ameombewa nafasi ya Business Administration katika hicho chuo ila kumbukumbu yangu ya matangazo ya hicho chuo ni afya..
Sasa nashindwa kuelewa kanidanganya kwa makusudi au waliomwambia wamemuombea hiyo nafasi ndio wamemdanganya na yeye kaamini...
Soon she will be travelling there kwenda kutumia hiyo fursa..
Wooooow sexy mama 😗😘
Nafikiri ungeenda kweny jukwaa la Education wangekupa majbu ya uhakika au tafuta kupitia Google mkuuSawa Mkuu,
Nilitaka kupata uhakika kwanza kabla ya kuibua wasiwasi..
Ooooh sasa yeye hajui ni chuo kipi anaenda??Diploma
Duuuh hapo pagumu, nweiiiii kila kitu kitakua sawa.Hope by kujua unamaanisha kukifahamu chuo kiundani..
Kam ni hivyo nina uhakika hayupo kwenye position ya kukijua maana hana uzoefu wowote na masuala ya vyuo..
Yeye kaambiwa jina na kozi tu na siye aliyeapply
Nimechungulia kwenye website yao. Courses offered.Hope by kujua unamaanisha kukifahamu chuo kiundani..
Kam ni hivyo nina uhakika hayupo kwenye position ya kukijua maana hana uzoefu wowote na masuala ya vyuo..
Yeye kaambiwa jina la chuo na kozi tu na siye aliyeapply
Hampo siriaziHope by kujua unamaanisha kukifahamu chuo kiundani..
Kam ni hivyo nina uhakika hayupo kwenye position ya kukijua maana hana uzoefu wowote na masuala ya vyuo..
Yeye kaambiwa jina la chuo na kozi tu na siye aliyeapply
Chukua mawasiliano yao basi; utapata majibu sahihiNashukuru Mkuu kwa time yako..
Nilichungulia pia..
Maswali yote haya nauliza ni vile tu nafsi yangu inahangaika..
Kabisa yaani.Nashukuru Mkuu kwa busara zako..
Nitajitahidi kupulapu siriazinesi yangu
Haya manyumbu yameshinda?Kipofu kaona mwezi 😡View attachment 2342621
Namwona Carlos Tevez namna anavyochekelea!Haya manyumbu yameshinda?
Uchawi upo😁
Kweli duniani uchawi upoNamwona Carlos Tevez namna anavyochekelea!
Nipo hapa, tuma location.Ki baridi fulani hv kinapiga!
ka bia fulani hv ka kumwagilia roho!
Furahi day fulani hv tulivu !
MKO WAPI ? TUGAWANE TOZO
Tunaenda kupiga arsenal jpiliKweli duniani uchawi upo
haya location ilikua amsterdam .mbezi ya chiniNipo hapa, tuma location.
Furaha ni kunywa na marafiki.