Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,170
Wee huyo boda boda ajiandae hapo, hilo halijaisha vzuri asije kurelax😂Mkaka alienda akashindwa 🙌
Akanipigia mimi, eti yule jamaa anaweza kukusikiliza .. huo muda mie nimemute kwangu nasikilizia
Nikaenda mtu na sauti yangu, yenye unyenyekevu ikiamuaga Lenie
Akapoa kidogo yule jamaa
Ila hasira mingi, akapanick tena.. mtu namlisha namlipia kodi anaenda to…m na boda boda.. akawaka upya 🙌
Mengine siwezi andika.. sio mazuri hata…
Ila nimeogopa sana 😂
Sitaki mchezo na wanaume
Khaaa
Hao watu wana panick mbaya sanaaa
Uzuri, nilifanikiwa mtuliza
The rest hayanihusu
Na jana imekuwa ya kwanza na mwisho.. isije siku nyingine kikarushwa kitu kikaniumiza kimasihara 🙌🙌
Hongera shogare kwa kutuliza, me hyo sauti yako sina mashaka nayo kabisa, hata mtu awe mgumu vipi akiiskia ni kama anapata uponyaji basi hasira lazima zipoe😂😂
Eeh ugomvi wa kushikiana silaha au hata wa ngumi haifai kuingilia kizembe, maana unaweza jikuta na wewe msamaria mwema unachanganywa humo humo unabaki kuuguza majeraha



