Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,818
- 233,249
Niache bana 😂😂
Hahahhaaa Wamekuwa watu wa jazba tena? Kwamba Mtaalamu TT Mwalimu wa makocha amekuwa mviziaji mara hii?Wanapigwa hadi na Southampton
Pana timu hapo kweli?
Sasahivi wanamwita kocha mviziaji 🤣🤣🤣🤣
Nililala bana 😂Fit sana. Jana ukapotea ghafla bin vu. Vp tena kulikoni?
Na Mendy ati anafuga tako
Achana na huyo mbeaHahahhaaa Wamekuwa watu wa jazba tena? Kwamba Mtaalamu TT Mwalimu wa makocha amekuwa mviziaji mara hii?
Wamempachika jina jingine tenaHahahhaaa Wamekuwa watu wa jazba tena? Kwamba Mtaalamu TT Mwalimu wa makocha amekuwa mviziaji mara hii?
😂😂😂😂 🙌🙌Na Mendy ati anafuga tako
Chelsea mna maneno nyie😂😂😂😂💔💔💔💔💔💔🔥🔥🔥🔥
Usingizi ulikuja kweli? Au ndo ulijipa moyo ukiamka utakuta mlishindaNililala bana 😂
Dk ya 70 na ngapi sijui
Nikazima Tv nikalala
HahahhaaaaNa Mendy ati anafuga tako
Chelsea mna maneno nyie😂😂😂😂💔💔💔💔💔💔🔥🔥🔥🔥
Sasa huyo Tuchel wenu alijaza mabeki tu!😂😂😂😂 🙌🙌
Sema game ya jana pia watoto wa St Mary walikuwa wanabanaa sana 😂😂 itakuwa kocha wao aliwaambia wajae golini kwao
🙌🙌 ama kweli ushabiki ni kaziWamempachika jina jingine tena
Mtalaam TT wanamwita "Kubwa jinger"🤣
Leo Mendy wanamwita takataka 😂(Kwa sauti ya OllaChuga Oc )Hahahhaaaa
Halafu hao ni Chelshit wenyewe wamempa hilo jina🤣🤣🤣🤣🙌🙌 ama kweli ushabiki ni kazi
NililalaUsingizi ulikuja kweli? Au ndo ulijipa moyo ukiamka utakuta mlishinda
Kazi kubwa sana🙌🙌 ama kweli ushabiki ni kazi
OllaChuga Oc mwamba kama namuona alivyokuwa mdogo kama piritonLeo Mendy wanamwita takataka 😂(Kwa sauti ya OllaChuga Oc )
Bana weeeSasa huyo Tuchel wenu alijaza mabeki tu!
Mlitegemea nini?🤣🤣🤣🤣🤣