Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sure
Ila watu wa Arusha wana hasira jamani
Ni vile tu sio famous kama wakurya,, ila na wao mori zikipanda moto wake ni balaa..

Nimeogopa sana nyie wanaume when it comes to cheating issues mnakuwaga wakatili sanaaa …

Mwisho jana nakwambia
Hapa kuna muda nawaza tumwambie faza house aongee na mpangaji wake, siku wasije butuana mtu akateleza kwenye tiles akajiKanumba..

Maana nilivyohisi jana ni kama dada ameelewa sana show ya boda boda
kwa kweli nikiona mtu ana date na boda boda, huwa namshusha mnooooo.

Boda boda???? Nehiiiiiiiii
 
Huyo kijana akuje fastaaaaaa,
FB_IMG_16619321010075940.jpg
 
Back
Top Bottom