Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kuna sehemu napitaga
Sina ba wala bee
Busy na issue zangu ‘ hata kusalimia sisalimii 😂

Kumbe wananisororaa tu wale wadada 🙌🙌
Leo nikaendapo kupata huduma flani..
Katikati ya huduma dada mmoja akanambia’ sauti yako inaonyesha we ni mtu poa, nikamwambia kiasi tu 🤣

Akasema tunakuonaga unaringa sanaa , me nilikuwa nishapanga siku nikipata nafasi ya kukuongelesha nikuambie upunguze maringo 😂

Nikasema alooo 🙌🙌 aibu ikanishika,, kucheka nataka, kukasirika nataka 😂😂 nikamwambia tu dada mm sijui Kuringa, ila siwezi kuongea na mtu nisiyemjua wala kumzoea 🙌

Nikakumbuka yale yale ‘ongea na watu usikie story zinazokuhusu ambazo hata we huna na huzijui🤣🤣 Lenie
 
😂😂😂
Af hiyo ipo sana, hasa kwa mtu ambaye humfahamu watu wanamzushia tu.

Kwahyo kuanzia sasa uwage unasalimia shogaa😅

Ila bana mwenyew kusalimia salimia watu ambao sijawazoea sina labda niwe eneo hilo nimesimama sawa ila sio napita njia basi kila kundi la watu nisalimie hapana kwakwel.
 
Kuna sehemu napitaga
Sina ba wala bee
Busy na issue zangu ‘ hata kusalimia sisalimii 😂

Kumbe wananisororaa tu wale wadada 🙌🙌
Leo nikaendapo kupata huduma flani..
Katikati ya huduma dada mmoja akanambia’ sauti yako inaonyesha we ni mtu poa, nikamwambia kiasi tu 🤣

Akasema tunakuonaga unaringa sanaa , me nilikuwa nishapanga siku nikipata nafasi ya kukuongelesha nikuambie upunguze maringo 😂

Nikasema alooo 🙌🙌 aibu ikanishika,, kucheka nataka, kukasirika nataka 😂😂 nikamwambia tu dada mm sijui Kuringa, ila siwezi kuongea na mtu nisiyemjua wala kumzoea 🙌

Nikakumbuka yale yale ‘ongea na watu usikie story zinazokuhusu ambazo hata we huna na huzijui🤣🤣 Lenie
Aisee....jirani na sie tusikie sauti kidogo.
 
Back
Top Bottom