Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,222
- 50,170
Jirani nimekumissSafiiii jirani..
Jirani nimekumissSafiiii jirani..
Hujambo jirani, kulikoni.Shoga angu Am fykin tayad 😂😂
Leo ndio niko na real blue Monday
Chaaaa 🙌🙌
Sijambo jirani, unaendeleaje wewe.Jirani nimekumiss
Aaah unakula tozo zetuu eeh 😁😁😁Nipo huku😅View attachment 2338714
Naendelea vema jirani, nimefurahi kukuonaSijambo jirani, unaendeleaje wewe.
Tozo zidumu😂😂Aaah unakula tozo zetuu eeh 😁😁😁
Sawasawa jirani..Tozo zidumu😂😂
🤔👆Kama unatamani ungekuwa ndiyo wewe nyoosha mkono juu🤪🤪🤪
View attachment 2338080
Kibao nakifananisha na ki1 mitaa ya malamba 2Majira yenyewe ndio hayaView attachment 2338441
Nipo jimboni mawardat Nahitaji kampani.Itakuwa jimboni eeeeh![]()
Ni mgahawa wa kanisa?Karoho ka uroho kananishawishi kuondoka na wine, Mara Robertson ilee. Ila si mchezo, mgawaha wa Kanisa unashawishi.
Karibu Mbinga!.View attachment 2338070
SafiiiiView attachment 2338830View attachment 2338831View attachment 2338832
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Njema jirani, siku imeshaisha hivyoSalam za usiku kwenu
Imesha salama, Mungu akubarikie usiku mwema pia jirani..Njema jirani, siku imeshaisha hivyo
😀😀😀😀 Sio malamba hapo ccmKibao nakifananisha na ki1 mitaa ya malamba 2