National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,176
- 56,199
Hiyo nzuri sana kwa kuanzia ukibahatika kupiga hadi level ya expert ni 🔥🔥
Hiyo nzuri sana kwa kuanzia ukibahatika kupiga hadi level ya expert ni 🔥🔥
Gari ya kazi, haina kishawishi kabisa hadi mtu akaachia chochote kitu
Sitaki kesi za mauaji..![]()
Ile ngumi kama aliyopigwa Mandonga unayo? hebu nipatie
Sitaki kesi za mauaji..
Chagua kitu kingine.
Ili niende jela?![]()
Huu mtama kama unao nipatie..
Nipe muda nijifikirie...Ili niende jela?
hii pichaa sio mahala pake..sio nzuri hata kidogoBonne soiréeView attachment 2340113
Kwelihii pichaa sio mahala pake..sio nzuri hata kidogo
Kaweka kasepa, madogo wanazingua. Acha ni report kwa mod. waifute mwenyewe naona kala na konaKweli
Nice mkuuHiyo nzuri sana kwa kuanzia ukibahatika kupiga hadi level ya expert ni 🔥🔥
Hakuna tena muda wa kufikiriaNipe muda nijifikirie...
Nice mkuu
Sawa sawa mkuu, kuna mdogo wangu mmoja haya masuala yupo vyema sana...
Safi sana mkuu. Mie nipo tu mkuu. cisco wazuri sana ukishapit nao hao foundation inakuwa nzuri sana.Sawa sawa mkuu, kuna mdogo wangu mmoja haya masuala yupo vyema sana...
View attachment 2340123
Hopefully one day nikiwakutanisheni mtafanya jambo...
Muhimu pia kwenye hii nyanja, kujua eneo gani aina ya industry ambayo mtu anataka kui hudumia kama financial insti au minining etc .. mifumo na Tech zao huwa tofauti tofauti kidogo na ISO zao pia zipo tofautiSafi sana mkuu. Mie nipo tu mkuu. cisco wazuri sana ukishapit nao hao foundation inakuwa nzuri sana.
Ni notes,vitabu na vyeti vya dogo, ni programmer na huwa ananipa ABCD za programming...Safi sana mkuu. Mie nipo tu mkuu. cisco wazuri sana ukishapit nao hao foundation inakuwa nzuri sana.
Owkay mkuu... ni sawaMuhimu pia kwenye hii nyanja, kujua eneo gani aina ya industry ambayo mtu anataka kui hudumia kama financial insti au minining etc .. mifumo na Tech zao huwa tofauti tofauti kidogo na ISO zao pia zipo tofauti
Hapo yupo vyema kwa hiyo combination ukiwa programmer mzuri kwenye issue za Sec unakuwa wa moto sanaNi notes,vitabu na vyeti vya dogo, ni programmer na huwa ananipa ABCD za programming...
Ndio Cyber alisoma kama ziada, ila yupo vizuri zaidi kwenye programming..Hapo yupo vyema kwa hiyo combination ukiwa programmer mzuri kwenye issue za Sec unakuwa wa moto sana