Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ingia playstore u download app inaitwa glasswire, utafahamu kama unaibiwa, lakini simu huwa zina background process nyingi na zinakula bundle cause zinatuma na kupokea taarifa, pia kuna apps huwa zinajiupdate, kama una iphone ni kawaida kabisa bundle kutembea...

Wengine youtube video anatazama 1080p Saint Anne analalamika kaibiwa
Voda inatembea faster sana, easy kuona unapigwa ukiwa umetoka kutumia tiGo, Airtel , Ttcl etc
 
Yaani unajua hadi nikashangaa, ila sikukoma nikajiunga tena cha buku jero😂😂
Nitalibembeleza lifike japo asbh
15870624_bdc1e2a36c1e47ddba06549c7705352b_jpeg_jpeg3bd51bf70361a4537e96daee0018e602.jpg
 
Ingia playstore u download app inaitwa glasswire, utafahamu kama unaibiwa, lakini simu huwa zina background process nyingi na zinakula bundle cause zinatuma na kupokea taarifa, pia kuna apps huwa zinajiupdate, kama una iphone ni kawaida kabisa bundle kutembea...

Wengine youtube video anatazama 1080p Saint Anne analalamika kaibiwa
Huwa nastop apps zote kwenye settings.
Naacha ninazotaka kutumia tu.
 
Voda inatembea faster sana, easy kuona unapigwa ukiwa umetoka kutumia tiGo, Airtel , Ttcl etc
Ndio mkuu, device's operating system ikigundua kuna high speed internet ndivyo ina send more data kwenye servers

Pia akina netflix, youtube automatically wakiona speed ipo juu automatically wanakupa higher display resolution, wengine wanakuwa hawajui...
 
😁😁😁 infungua bomba la kula data ila nzuri kuweka data limit kama mtu hayuko makini sana
 
Back
Top Bottom