Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hii kazi kwanza mwili unajengeka vizuriii mawazo yanapungua 😁
Yaani wewe ni vijikazi tu vya nyumbani,kula,kuangalia movie na kulala.

Tena mchana unajipikia tu chakula chako,,wenye nyumba wengi hawashindi nyumbani mchana.

Na mshahara wako upo palepale.
 
Back
Top Bottom