Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!!
Tena umenikumbusha Hebu niongee na walimu wanaorudi likizo wanipitie mafuta huko singida walau dumu 2!
Hapo bado dadaa wa Kazi hajamimina kama yanaokotwa tu jamani uwiiiii!!
Huyu naye anamimina ..yaani nyama zinaoga kwenye mafuta kama zipo mtoni ila mara mia amwage dada kuliko hawa wapuuzi wamesonga mafuta yote ya elfu 37🤣🤣🤣🤣
 
Halafu Kuna Hawa wanaitwa Malaika wa Mungu wamesonga Lita tano ya sandrop na unga ndoo nzima hakiyanani💔😂😂😂😂
Mie sasa huyu binti Yangu wa kazi na kina junia ni wanataka wali kila leoooo asubuhi mchana jioniii huwaambii ugali ni wali tu hawana mdaaaa!! Huku niliko uliza bei ya mchele sasa!! 🙌🙌🙌🙌

Mitano tena
 
Shida sio kuwa na pesa hata nawe unazo shida unaweka bando halikaii buku ina nguvu kwa maana kwa mwezi ni 30000 imekatika😬😁😁
Kweli bado ni yaleyale tu😂💔💔💔💔
Tanzania jamani Cha moto tunakiona😂😂😂😂
 
Hakuna kwenye unafuu labda huko wanakosema VPN ya bure sijui!
Nako wanasema inaharibu battery.

Mmoja akasema unatunza battery halafu simu inaibiwa na kibaka🤣🤣🤣🤣
Wengine wanasema chagua battery liharibike au kunguza laki kwa bando
 
Back
Top Bottom