Selfika na JF: Snap it. Show it

Naam, mjoli....
 
National Anthem umesahau I'm a jeep with an open roof type of girl???πŸ₯΄πŸ₯΄

Au unataka nipewe hili ili uje kuchukua wewe baadae???
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Jeep atowe wapi hela , itakuwa ni uonevu tu .. hiyo yenyewe kanyoosha mikono tayari. Vigezo na masharti kaisha fail..
 
Habari wanaselfika
Alhamisi nlipata mtihan kidogo barabarani nlipata ajali nlkua abiria kwenye bajaj mbaya zaidi nilikaa kwenye siti ya kiherehere
Nashukuru naendelea vizuri nlipata cut ya kioo uson na majeraha ya goti
Alamsiki
Pole sana mjumbe! Mungu akuponye haraka urejee kwenye afya njema mkuu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…