EEX
JF-Expert Member
- Oct 19, 2014
- 4,130
- 13,369
Hizo sahani ulivyozipanga nimezipenda.Morning breakfastView attachment 2336785View attachment 2336786
Hizo sahani ulivyozipanga nimezipenda.Morning breakfastView attachment 2336785View attachment 2336786
Salama jirani...nilikuwa kijijiniAsante sana jirani!! Siku mbilitatu Ulipotea sana humu jirani habari za wewe!!✋
Sauwasauwaa jirani! I hope wote mko poa huko!Salama jirani...nilikuwa kijijini
Unatoka na la saa 3 au 12??Kesho SAA 10 jion nipo Town.
Niko poa,,,ushafika namtumbo au bado Tunduru?Uko poa
Mimi mzima
Atakua kaandaliwa mgeni maaalumu.Yaani huyu binti
Au bhas
Taa Bora sasaNiko poa,,,ushafika namtumbo au bado Tunduru?
Oooooh,hongeraTaa Bora sasa
Nikirejea nitakujuza
Tatizo kaka yakeAtakua kaandaliwa mgeni maaalumu.

Mgonjwa kisharuhusiwaOooooh,hongera
Utanikuta na cocas,
Hapa luhuwiko.

Salama kabisa jiraniSauwasauwaa jirani! I hope wote mko poa huko!
😂😂😂😂🤸🏻♀️🤸🏻♀️😂🤣🤣
Ndio unamboa zaidi
Kisa cha kufosi mambo hivyo ni nini labda. Weee kwani ukimute usingz hauji au
Em lala acha uchinga
Jirani mpendwaDuh..
Naam jirani...nimefurahi jirani yangu Lenie yupo salama, ila ajifunze mpiraJirani mpendwa
🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂🤸🏻♀️🤸🏻♀️
Shemeji tunakupenda..
🤣🤣 huyo jirani anafurahisha sana..🤣🤣🤣🤣🤣
Au ujirekodi video unalia labda atakuhurumia
Weee 😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣
Au ujirekodi video unalia labda atakuhurumia