Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mim ni

Nlinunua mnadani.... Mim napenda fashion ccy napenda nguo, napenda urembo wa nyumba...... Hilo gauni nlinunua sh elf 2...... Lilikua limechanika mno na kubwa nlitengeneza hadi likawa hivo.... Nlichofunga kiunoni ni kitambaa Cha kichwan nmekikunja nkajifunga..... Unaweza jua mkanda..... Hicho kitambaa nlinunua buku


Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
20220817_235546.jpg
20220817_235459.jpg
20220817_235451.jpg
 
Acha kuogopa propaganda Ntiluseswa mfate umuulize siyo kuwa na assumptions. Ila ni mwanamke na sio mwanaume 😂
Mm ni mtoto wa kiume afu nina akili timamu pia mm nikijana wanguvu afu siogopagi k2 chochote awe mwanaume au mwanamke hayo mm hayanihusu humu JF nimeingia kwaajili ya kubadilishana mawazo na kupiga storya hizo fikra zingine achaneni nazo tupige soga tu maisha yaendelee
 
Back
Top Bottom