Post M-alone
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 2,962
- 9,557
Watafiti wengi wanakosoa data zetu haswa upande wa research.Upo sahihi kabisa mkuu. Zoezi wamelifanya liwe gumu na gharama wao wenyewe na hata kupata data kwa ufanisi ni ngumu sana, watajukuta wana garbage za kutosha. Kwa technologia ilipofikia kupata idadi ya watu kwa usahihi ni rahisi sana tofauti na njia walio chagua wai. Ila tuishi nao tu, nili wish kunesabiwa ila paka sasa hivi sijahesabiwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hajashawishi badoooo.
๐คทโโ๏ธ๐คทโโ๏ธ๐คทโโ๏ธ๐คทโโ๏ธ๐คทโโ๏ธ๐คทโโ๏ธKho kho kho khokoh kho.
Kumekuchaaaaaaaaaah JF, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu itakuwa we ni mgeni, huyo mtu ni shoga unless kama ni mtumiaji, hawakuambii ukweli wanakuenjoy na kukuchekea kinafiki, umekuwa kiburudisho, but huyo coca wako ni shoga na ndio maisha aliyochagua, kama ni mtumiaji fresh we kula tunda...
Nakutaarifu tu, cause hata profile yako umejiweka wazi, na selfie zako huzibi sura...
Achana na tungi huko kuna vibaka njoo kibada CRDB uone watu wanavyokamuliwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivyo viti au vigoda???
Hizo kauli zingetolewa na Brain kama Mo Dewji a.k.a Mudi, Bakharesa, Bill Gates, Elon Musk, Jef Benzos ningeelewa ila sio Fred ๐ฅธ๐ฅธVipi Kina Fred Vunja Bei
Mtupe bwana, sasa mnatunyima ili iwe nini
Ni kikohozi kilinibana ndugu yangu.๐คทโโ๏ธ๐คทโโ๏ธ๐คทโโ๏ธ๐คทโโ๏ธ๐คทโโ๏ธ๐คทโโ๏ธ
Hamnaga kuzima taa aiseeโฆ uzime taa mtu akijikwaa atalaumiwa nani? Nehiii vya gizani๐ na Depal alivyo na aibu utaskia National Anthem zima taa! ๐๐
Umalaya ( uhongaji ) na mfanikio vitu viwili tofauti, kama ni manzi ( mke ) hawezi kukufanya ATM ila mtajenga kitu kikubwa zaidi ๐๐๐ basi nitakosa utelezi maisha yangu yote maana sitoi hata mia kwa Ke mieAchana na tungi huko kuna vibaka njoo kibada CRDB uone watu wanavyokamuliwa
Nyie pia mna vitendea kazi vya kuwaingizia hela , tafuteni zenuu ๐ฅธ๐ฅธMtupe bwana, sasa mnatunyima ili iwe nini
๐๐ Mbavu zangu na kweli huyu National Anthem siyo wa kumwamini anaeza jikwaa kusudi!Hamnaga kuzima taa aiseeโฆ uzime taa mtu akijikwaa atalaumiwa nani? Nehiii vya gizani
Ni swala la muda tu mkuu๐ ๐Umalaya ( uhongaji ) na mfanikio vitu viwili tofauti, kama ni manzi ( mke ) hawezi kukufanya ATM ila mtajenga kitu kikubwa zaidi ๐๐๐ basi nitakosa utelezi maisha yangu yote maana sitoi hata mia kwa Ke mie
Wengine hatutaki kuhesabiwa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Good morning kwa wanaselfika wote! Saint Anne Lovelovie Mjep Lizzy Depal Lenie Shimba ya Buyenze Ntiluseswa Wigelekelo raraa reree sophy27 National Anthem Post M-alone Mshana Jr Carrasco putin cocastic mawardat Surbi ! MPAKA SASA JUMAMOSI BADO SIJAHESABIWA NA DALILI HAZIONESHI KAMA NTAHESABIWA VP WENZANGU MMESHAHESABIWA!
We do both..Nyie pia mna vitendea kazi vya kuwaingizia hela , tafuteni zenuu ๐ฅธ๐ฅธ
Nzuri kabisa bosi..za wewe bosi wanguHabari yako boss .
Marhaba mtoto mzuriSijambo, shikamoo