National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,177
- 56,199
😀😀😀😀😀 hizi usukumani ni nyingi sanaaa
😀😀😀😀😀 hizi usukumani ni nyingi sanaaa
Wasukuma wamekukosea nini bro😀😀😀😀😀 hizi usukumani ni nyingi sanaaa
Nimewaolea so wawe wapole dawa iwaangie 🤣😁😁Wasukuma wamekukosea nini bro
Hongera sana sis ! Jamani tumuone birthday baby na mamake sis fanya hivo jamani!Cake zipo nyingi sana ccy...... Party ilifana sana😍😍😍
Hellow Madam AntonniaHelloowww selfika ✋!!
Poapoa sis ukitupia uniite dear can't wait 💃!!Ccy picha nakutumia Leo zipo mingi mingi
Mara nyingi hadi nimeshasahau idadiHivi ushaselfikaga humu mkuu!!??😉
Dadamtuu huo uchocheziiiii🤭🤭🤭! Na ukaacha kumtetea kakako jamani dada Nuksi sana weye!!Nipo burazaaa..... usingizi wangu umeisha....ulimuona wifi Alayna nasikia alikuja Jana akakuta kanga ya mwanamke mwingine chumbani kwako....akawa amerudi na ndege ya sa 2
Wee kumbe!! Sijawahi bahatisha selfii yako aisee ngoja nivizie siku ukitupia niione!Mara nyingi hadi nimeshasahau idadi
Mazimaaaaaa!!✌️
Aliekuchachusha mr Vocha walai Mungu anamuona🤭!Hiyo kiatu nimeielewa sana chief
Siwezi kupata hiyo kitu woolworths?😎
Uwe na safari Murua kabisa chief
Naona kitimtim!!😀😀😀 sijui ndio futuhi au mizengwe